Posts

DOGO JANJA, Mpya Kali hii🎵janjaroo🎤

Image
Thank you for reading this post Naweza nikasema huyu jamaa ni msanii wa kipekee ambae ni mtu wa watu sana. Ukikutana nae hajigambi sana na huwa karib na mtu pale anapotaka ukaribu Hii kitu inazidi kupendezesha kazi zake na hata jina lake. Sio only msanii star but naweza kusema ni staa kwa kuwa mtu wa watu kuliko masta wengine Ni karama ya kipekee kufanya vizuri jukwaan na pia kwenye jamii. Big up Janjarooo, tunazikubali kazi zako kinomanoma

BABA DIAMOND NEWS

Image
Thank you for reading this post BABA DIAMOND NEWS Baba Diamond Kukatwa Miguu Kutokana na Kansa Ya Ngozi Diana  | February 21, 2019 at 07:15 0 Baba mzazi wa staa wa Bongo fleva Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma amedaiwa kuwa katika hai mbaya itakayompelekea kukatwa miguu katika siku za usoni.Baada y... Dada wa Diamond Amtaka Diamond Amsaidie Baba Yao Maana Ana Hali Mbaya Diana  | February 18, 2019 at 09:06 0 Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kama Dada yake na staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, anayejulikana kwa jina la Zubeda amempigia magoti Diamond amsaidie baba yake ambaye an... Baba Diamond- Natamani Diamond Angenialika Tandale Diana  | October 09, 2018 at 09:12 5 Baba mzazi wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma maarufu kama Baba Diamond ameibuka na kudai mwanaye hakumualika kujumuika naye Tandale wiki iliyopita.W... Queen Darleen Amuomba Msamaha Baba Yake Ili Kukwepa Laana ...

MUHIMU KUSAMEHE

Image
Thank you for reading this post Sometimes tunakosea marafiki zetu na hata wazazi, kosa lililotendeka hukulitarajia, wakati mwingine unakuta unaumia na unapata shida sana huku ukijutia kosa lako. Wakati huo uliemkosea hakuoni wala haiskii ukijilaumu, lakini yeye anakasirikia na kushindwa kuelewa ni jinsi gani unavyowaza kukutoka moyoni mwako. Napenda tujifunze nini? Msamaha ni muhimu kwa watu wote, sometimes unaweza ukalaumu mtu kumbe yeye mwenyewe anajutia zaidi kosa lake, muhimu anapo omba msamaha mpatie msamaha. Ili nae apate amani moyon mwaka apate nafasi ya kuwaza mambo mengne. Kukosea kupo shetani alikua malaika lkn alikosea, meaning that sio sisi binadam tu tunakosea, lkn kila kitu exists on earth kinakosea plz tuwe tunasameheana. Kwan hata Mungu husamehe dhambi zetu sawasawa na tunavyosamehe wawanao tukosea God bless u na akupe moyo mwepec wa kusamehe Amina

AKILI NI SULUHISHO LA MATATIZO. Ishughulishe akili yako.

Image
Thank you for reading this post TAFAKARI YA LEO Siku hii ni njema imempendeza Mungu sisi kuwepo, Leo napenda tutafakari machache ambayo ni maisha yetu ya kawaida kabisa, * Soma story hii kidogo * Kampuni moja iliingia hasara Sana na kwa muda, boss wa kampuni alipoona kampuni inaangamia akaamua kuita wafanyakazi wote Kisha akawaambia Kila mmoja aandike sababu ishirini (20) kwann kampuni inaporomoka kiuchumi Wafanyakazi wale walipochukua karatasi kuandika, waliandika point za mwanzo haraka Sana lakini zilipo fika kwanzia point ya (15) speed yao ya kuandika ilipungua hivyo walifikiri Sana kwa kutumia akili zao. Boss alipokuja kutazama point zile na kuzifanyia kazi alikuta kwanzia point ya 17 ya Kila mmoja ndio inasuluhisho la kwann kampuni inaporomoka..🔥 Tambua kuwa binadamu Mungu katujalia akili nyingi sana na uwezo mkubwa Sana wa kuhifadhi mambo. Kisaikolojia binadamu anao uwezo wa kuhifadhi billions za vitabu kwenye kumbukumbu yake, na anaweza kutumia hizo reference kutatua...

HABARI KUU LEO; MUNGU JUU YA YOTE MAISHANI MWAKO

Image
Thank you for reading this post Sometimes Mungu huwa anaruhusu mambo mengine ili kukupa funzo kwenye maisha yako, anakuokoa na kule unapoelekea, pengine ungeenda kuangamia. Lkni sisi wanadamu tulivyo tunataka mafanikio wakati wote na kuona Mungu katuacha pale tunapo pita kwenye majaribu. Mkumbuke Ayubu, yeye alipata majaribu meng na makubwa sana  lakin kamwe hakumwacha Mungu aliye muumba alitulia kusubiri muda wa Mungu kujitukuza kupitia yeye na ilipofika wakati, Mungu alijitukuza na alimjaza Mara nyingi zaidi akampa Mali za kutosha na kumpa make na watoto wazuri. Nawe napenda kukuambia katika usiku wa Leo usije ukakata tamaa na kuacha kumtumikia Mungu maishani mwako mwache Mungu afanye yake itafika muda wa yeye kujitukuza na shetani na wote waliokusema wataaibika. Chukua dakika chache za kumtukuza Mungu na kumwambia asante kwa yote aliyo kutendea maishani, zidi kumwomba bila kukoma naye IPO siku atajitukuza kwako. Mungu akujalie afya njema Mungu akujalie baraka ...

MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018/2019..bofya Mara moja tu

Image
Tazama matokeo ya kidato cha nne hapa Bofya link matokeo kidato cha nne ,necta

Get money here

Image
https://m.facebook.com/mmarystarnley/photos/a.2215911448469050/2215903158469879/?type=3&refid=17&ref=m_notif&_ft_=mf_story_key.2269190713350370%3Atop_level_post_id.2269190713350370%3Atl_objid.2269190713350370%3Acontent_owner_id_new.100007783897053%3Aoriginal_content_id.2215903158469879%3Aoriginal_content_owner_id.1972134092846788%3Athrowback_story_fbid.2269190713350370%3Apage_id.1972134092846788%3Aphoto_id.2215903158469879%3Astory_location.4%3Aattached_story_attachment_style.photo%3Apage_insights.%7B%221972134092846788%22%3A%7B%22page_id%22%3A1972134092846788%2C%22role%22%3A1%2C%22actor_id%22%3A100007783897053%2C%22psn%22%3A%22EntStatusCreationStory%22%2C%22attached_story%22%3A%7B%22role%22%3A1%2C%22page_id%22%3A1972134092846788%2C%22post_context%22%3A%7B%22story_fbid%22%3A2215903158469879%2C%22publish_time%22%3A1547848838%2C%22story_name%22%3A%22EntComposerPhotoCreationStory%22%2C%22object_fbtype%22%3A22%7D%2C%22actor_id%22%3A1972134092846788%2C%22psn%22%3A%22EntCom...

Brexit: UK and EU 'agree text' of draft withdrawal agreement

Image
Brexit: UK and EU 'agree text' of draft withdrawal agreement 8 minutes ago   6340 comments Share this with Facebook   Share this with Messenger   Share this with Twitter   Share this with Email   Share Related Topics Brexit Image copyright REUTERS Image caption Ministers are being briefed individually on the draft agreement UK and EU officials have agreed the draft text of a Brexit agreement after months of negotiations. A cabinet source told the BBC that the document has been agreed at a technical level by officials from both sides after intensive discussions this week. A special cabinet meeting will be held at 14:00 GMT on Wednesday as Theresa May seeks ministers' backing. The PM has been meeting ministers in Downing Street for one-to-one talks on the draft agreement. BBC political editor Laura Kuenssberg said the agreement contained a UK-wide customs "backstop" aimed at preventing new border checks...