DOGO JANJA, Mpya Kali hii🎵janjaroo🎤

Thank you for reading this post

Naweza nikasema huyu jamaa ni msanii wa kipekee ambae ni mtu wa watu sana.

Ukikutana nae hajigambi sana na huwa karib na mtu pale anapotaka ukaribu

Hii kitu inazidi kupendezesha kazi zake na hata jina lake.

Sio only msanii star but naweza kusema ni staa kwa kuwa mtu wa watu kuliko masta wengine

Ni karama ya kipekee kufanya vizuri jukwaan na pia kwenye jamii.


Big up Janjarooo, tunazikubali kazi zako kinomanoma


Comments

Popular posts from this blog