BABA DIAMOND NEWS
- Get link
- X
- Other Apps
Thank you for reading this post
BABA DIAMOND NEWS
Baba Diamond Kukatwa Miguu Kutokana na Kansa Ya Ngozi
Baba mzazi wa staa wa Bongo fleva Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma amedaiwa kuwa katika hai mbaya itakayompelekea kukatwa miguu katika siku za usoni.Baada y...
Dada wa Diamond Amtaka Diamond Amsaidie Baba Yao Maana Ana Hali Mbaya
Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kama Dada yake na staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, anayejulikana kwa jina la Zubeda amempigia magoti Diamond amsaidie baba yake ambaye an...
Baba Diamond- Natamani Diamond Angenialika Tandale
Baba mzazi wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma maarufu kama Baba Diamond ameibuka na kudai mwanaye hakumualika kujumuika naye Tandale wiki iliyopita.W...
Queen Darleen Amuomba Msamaha Baba Yake Ili Kukwepa Laana
Msanii wa Muziki wa Bongo fleva kutoka WCB, Mwanahamisi Abdul maarufu kama Queen Darleen amedaiwa kumuangukia kwa magoti Baba yake Mzee Abdul baada ya kuwa bifu la muda mrefu....
Baba Diamond Adaiwa Kukaata Mtoto Wake Wa Nje
Baba mzazi wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametupiwa tuhuma nzito baada ya kudaiwa kutelekeza mtoto wake wa nje.Global Publishers wanaripoti kuwa ...
Diamond Atapata Tabu Sana :- Baba Diamond
Baada ya siku kadhaa kupita baada ya Diamond kuweka picha ya baba yake na mama yake pamoja na yeye bado akiwa mdogo lakini bado baba huyo anasema kuwa Diamond anayafanya hayo ...
“Nikifa Leo Mwanangu Asinizike Wala Asiguse Jeneza Langu”- Baba Diamond
Baba mzazi wa msanii wa Bongo fleva, Diamond Platnumz pamoja na dada yake staa mkongwe wa Bongo fleva anayejulikana kama Mzee Abdul Juma, ameibuka na kudai kuwa endapo akifa h...
Aliyoyasema Baba Diamond Kuhusu Mimba ya Tunda
Baba mzazi wa msanii Diamond amefunguka na kuolengea mambo yanayoendelea katika mitandoa ya kijamii kuhusu mtoto wake huyo na mahusiano mapya ya kimapenzi yanayosemekana kuwep...
Baba Diamond Kafunguka Ishu Ya Mama Diamond Kuolewa “Msiniingilie na Mama Diamond”
Baba mzazi wa Msanii Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma amefunguka kuhusiana na suala linalo kiki mjini kwa hivi sasa suala la Mama mzazi wa Diamond Bi. Sandrah kuolewa na kibe...
Baba Diamond Amshauri Zari Amvumilie Diamond Kwa Mapungufu yake
Baba mzazi wa Mwanamuziki Diamond Platnumz Mzee Abdul ameibuka na kumshauri Zari aendelee tu kumvumilia Diamond kwa makosa aliyoyafanya.Katika mahojiano aliyoyafanya na Ml...
This website uses cookies to provide you with the best browsing experience.
Find out more or adjust your settings.
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment