HABARI KUU LEO; MUNGU JUU YA YOTE MAISHANI MWAKO
Thank you for reading this post
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPmkbvTHPiELsFuf7KOnX6z3qqvg6cpEf4BjIEOA8P4SoV-Y8uEVC8I1RYl-Y5Dqj7oQBoLqH3Ne_iPD1s6grRlLmZ-EQm4GOHHQLiliFRihSWwaW7_XLPPWPR3VzGARQCJaL0bIho3YM/s640/Image_30.png)
Sometimes Mungu huwa anaruhusu mambo mengine ili kukupa funzo kwenye maisha yako, anakuokoa na kule unapoelekea, pengine ungeenda kuangamia.
Lkni sisi wanadamu tulivyo tunataka mafanikio wakati wote na kuona Mungu katuacha pale tunapo pita kwenye majaribu.
Mkumbuke Ayubu, yeye alipata majaribu meng na makubwa sana
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjMbmmAeIWEVH0oGssz8elLe-DVW4FwIndnHLCPMfsWfNU0PWix7TVgBqjXs45Uq4L9_hDGXKmmrbjiEKWUYFkJDe951LB7pa3cChzAlDxnP2LtY4m8bW0fdcUHXTsbrJqRXXkvac7zCgs/s640/Image_245.png)
lakin kamwe hakumwacha Mungu aliye muumba alitulia kusubiri muda wa Mungu kujitukuza kupitia yeye na ilipofika wakati, Mungu alijitukuza na alimjaza Mara nyingi zaidi akampa Mali za kutosha na kumpa make na watoto wazuri.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUMeVx-BTgyCGpwbqucoYMAqoR2d13h5ku0oN3suCDXYbFSg491OZdeZ2s2wImFWXt_Ve28GbYDQtFNq1vJnKBpxpZIAkoMCX4FiPD2A9yvfgJonyqnCtiUos5bmPGlerlxp3j61BgzHs/s640/Image_228.png)
Nawe napenda kukuambia katika usiku wa Leo usije ukakata tamaa na kuacha kumtumikia Mungu maishani mwako mwache Mungu afanye yake itafika muda wa yeye kujitukuza na shetani na wote waliokusema wataaibika.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjMIUESbBdOOoLx4lnylWZSF1NoZ_5_eF81kE0CgJ2rhhkF9RsV7TdvEMPHGZBRvfeszPz-l1SRPXmyiTd1Ihc-Dcp_GPlML8swnex5HFPLIZX764q0TIOiTYrhTC4_2EGQzO7R4dJz8ng/s640/Image_149.png)
Chukua dakika chache za kumtukuza Mungu na kumwambia asante kwa yote aliyo kutendea maishani, zidi kumwomba bila kukoma naye IPO siku atajitukuza kwako.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHeYzY6C9FR0JyBLiorFV6ZBeFdvWCXIstUxL0R3kPpEqIhabOQUI9Nxqs1qIZoSRUjDb0syEpuGu7U754T4WEFZLPSIjmBefP_QQOj4L9e0nTrJYx2RQTryK4zNeeNWU6Do_p2Qxx1uY/s640/Image_24.png)
Mungu akujalie afya njema
Mungu akujalie baraka
Mungu akujalie kheri
Na Mungu akulinde kwa jina lake lililokuu
Asante sana
Usisome peke yako share na wenzako wasome
Ubarikiwe

Comments
Post a Comment