AKILI NI SULUHISHO LA MATATIZO. Ishughulishe akili yako.
Thank you for reading this post
TAFAKARI YA LEO
Siku hii ni njema imempendeza Mungu sisi kuwepo, Leo napenda tutafakari machache ambayo ni maisha yetu ya kawaida kabisa,
*Soma story hii kidogo*
Kampuni moja iliingia hasara Sana na kwa muda, boss wa kampuni alipoona kampuni inaangamia akaamua kuita wafanyakazi wote Kisha akawaambia Kila mmoja aandike sababu ishirini (20) kwann kampuni inaporomoka kiuchumi
Wafanyakazi wale walipochukua karatasi kuandika, waliandika point za mwanzo haraka Sana lakini zilipo fika kwanzia point ya (15) speed yao ya kuandika ilipungua hivyo walifikiri Sana kwa kutumia akili zao.
Boss alipokuja kutazama point zile na kuzifanyia kazi alikuta kwanzia point ya 17 ya Kila mmoja ndio inasuluhisho la kwann kampuni inaporomoka..🔥
Tambua kuwa binadamu Mungu katujalia akili nyingi sana na uwezo mkubwa Sana wa kuhifadhi mambo. Kisaikolojia binadamu anao uwezo wa kuhifadhi billions za vitabu kwenye kumbukumbu yake, na anaweza kutumia hizo reference kutatua matatizo na changamoto mbalimbali za kimaisha endapo atatumia akili aliyo jaliwa na mwenyenzi Mungu kutumia reference alizo nazo.
Tatizo lipo hapa, binadamu tumekuwa wavivu Sana wa kutumia akili zetu katika kufanikisha mambo yetu,
Tafakari ni marangapi umekaa na kufikiria wap umetoka na wapi unaelekea katika maisha yako na Nini utafanya ili kubadilisha hali yako ya maisha
Hatujaishughulisha akili yetu katika kutatua matatizo yetu na kupata maendeleo fikiri juu ya kampuni niliyoielezea hapo juu, wafanyakazi walipotaja changamoto mwanzoni walitumia uzoefu lakini walipotaja tumia akili kufikiri walipata sulihisho🏠 kumbuka akili haidanganyi sikuzote ipo sahihi ikitumika vyema
Hivyo tujitahidi kutumia akili zetu tutafanikiwa.
Me nipo tayari kubadilika....
Ww je?

Comments
Post a Comment