Kofi Annan, katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa aaga dunia akiwa na miaka 80
Kofi Annan, katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa aaga dunia akiwa na miaka 80 Saa 9 zilizopita Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Kofi Annan Aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan ameaga dunia akiwa na miaka 80. Annan alikuwa ni mwafrika mweusi wa kwanza kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, akihudumu mihula miwili kuanzia mwaka 1997 hadi 2006. Baadaye akahudumu kama mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Syria na kuchangia kupatikana kwa suluhu la amani la mzozo wa nchi hiyo. Kofi Annan amtaka Odinga kutumia njia za kisheria Kenya Katika taarifa iliyotangaza kufariki kwake, wakfu wa Kofi Annan ulimtaja kama mtu aliyejitolea sana katika masuala ya kimataifa mbaye katika maisha yake yote alipigania kuwepo ulimwengu wenye amani. Muhula wa Annan kama ...