MUHIMU KUSAMEHE
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOQL73AsyPJ80ZuCXHiNce9y3bkt5Cw-iqsrk5OcGCFLBvmP0ga5CIUWEBYmQg32ikZaEVCBslqm7GVKV8ENzPu3MKD5sEFV-rZrhQUcjHnMb8v3EdfT1BIERnubpMPbmH8noNAu1NAAU/s1600/IMG-20190225-WA0001.jpg)
Thank you for reading this post Sometimes tunakosea marafiki zetu na hata wazazi, kosa lililotendeka hukulitarajia, wakati mwingine unakuta unaumia na unapata shida sana huku ukijutia kosa lako. Wakati huo uliemkosea hakuoni wala haiskii ukijilaumu, lakini yeye anakasirikia na kushindwa kuelewa ni jinsi gani unavyowaza kukutoka moyoni mwako. Napenda tujifunze nini? Msamaha ni muhimu kwa watu wote, sometimes unaweza ukalaumu mtu kumbe yeye mwenyewe anajutia zaidi kosa lake, muhimu anapo omba msamaha mpatie msamaha. Ili nae apate amani moyon mwaka apate nafasi ya kuwaza mambo mengne. Kukosea kupo shetani alikua malaika lkn alikosea, meaning that sio sisi binadam tu tunakosea, lkn kila kitu exists on earth kinakosea plz tuwe tunasameheana. Kwan hata Mungu husamehe dhambi zetu sawasawa na tunavyosamehe wawanao tukosea God bless u na akupe moyo mwepec wa kusamehe Amina