MAPENZI MUBASHARA. Jinsi yaKumwomba msamaha mpenzi wako au kudumisha mahusiano yako zaidi
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXOL4646zPoPhpkHHQeHHYnF4CHkuESt22XyBEs-4G-Nz1mqRKMrMLQwCzG8aJr1e1Mp-nHGuNUudSGSqh0iQPo3VlWieZhx9D0qOfrY_JZszCVZZ2-HkY9ApZClr8IOAZvpThUZhcQVA/s320/images+%25281%2529.jpg)
Dah leo nimechafukwa😎😎 kama hamuelewani na mpenzi wako au niile tu unataka kumpa mistari itayomwonesha anajaliwa na kuthaminiwa; cheza na hiyo mistar vizuri asipo tulia on line njoo nidai Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi? Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu. Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usioh...