CHEMSHA BONGO

Swali la leo
Iv ni kweli unaamini kua kila mwanaume anapo omba mke mwema kwa Mungu, shetani nae humtumia mke kutoka kwake kwa kumuwahi yule aliyepangwa na Mungu???
Jibu lako na mawazo yako tunayathamini na kuyahitaji sana

Comments

  1. Kwa mawazo yangu jibu ni ndiyo. Koz MTU anaweza kua anaomba mke huku kajiwekea vigezo vya huyo mwanamke kwenye akili yake hivyo shetani anachofanya ni kutangulia kumpeleka yule Mwenye vigezo vyake..

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog