CHEKA KIDOGO NA VISA VYA MADENGE
MADENGE NA HOME WORK:
Siku 1 Madenge na wenzake walipewa home work wakatunge sentens 3. kila mtoto akarud nyumban kwao, Madenge alipofika kwao alimkuta mama yake amekaa vibaya akamuuliza "mama hiyo nini?"
mama yake akamjib "nyoo mshenz wewe".
Madenge akaandika sentens ya kwanza.
akapita had sebulen akamuona baba yake anachek muvi, akamuuliza "baba huyo nan ktk picha"
baba yake akamjib "anord shozniga".
Madenge akaandika sentens ya pili.
baada ya kula akaenda kutembea mitaan, kituo cha daladala alisikia konda akisema "panda nyuma twende".
kesho yake mwalim akawauliza "mmetunga sentens zangu?" wanafunz wakajib "ndiyo". mwalim akasema "madenge anza kunisomea sentens zako"
Madenge akasoma "nyoo mshenzi wewe"
mwalim akakasirika "we mtoto unanitukana ukiwa kama nan"
Madenge akasoma tena "anord shozniga"
mwalim akamwambia "kumbe wewe jeuri twende ofisini"
Madenge akamalizia "panda nyuma twende". mwalim hoi... wanafunz wenzake "oyooo madenge, madenge, madenge... HAPO KOSA LA NANI?

Safi sana
ReplyDelete