Posts

Showing posts from October, 2018

coordinate geometry

Mbwana Samatta: Sababu ya mshambuliaji wa Tanzania kung’ang’aniwa na klabu za West Ham, Everton na Burnley England

Image
Mbwana Samatta: Sababu ya mshambuliaji wa Tanzania kung’ang’aniwa na klabu za West Ham, Everton na Burnley England 9 Oktoba 2018 Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha AFP/GETTY IMAGES Image caption Mbwana Ally Samatta huchezea KRC Genk ya Ubelgiji Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta anang'ang'aniwa na klabu tatu za England, taarifa za vyombo vya habari nchini Uingereza zinasema. Tetesi zinasema nyota huyo anatafutwa na West Ham United, Everton na Burnley. Samatta, 25, maarufu kwa Watanzania kama Samagoal ameng'aa sana akichezea klabu ya KRC Genk nchini Ubelgiji. Amefungia klabu hiyo mabao 11 katika mechi 16 ambazo amewachezea msimu huu, nusu ya mabao hayo akiyafunga barani Ulaya. Samatta asaidia klabu yake kufuzu Europa League Utafiti: Mbwana Samatta, Salim Kikeke wana ushawishi mkubw...

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 10.10.2018: Mourinho, De Gea, Conte, Sancho, Henry, Terry

Image
Tetesi za soka Ulaya Jumatano 10.10.2018: Mourinho, De Gea, Conte, Sancho, Henry, Terry Saa 5 zilizopita Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha PA Kocha wa Manchester United Jose Mourinho atafanya mazungumzo na Mkurugenzi wa timu hiyo Ed Woodward jijini London kabla ya bodi ya klabu kufanya mkutano wake siku ya Alhamis. (Sun) United imeendelea kuwa na imani kuhusu mkataba wa mlinda mlango David de Gea ingawa amekuwa akihusishwa kuihama timu hiyo mara kadhaa, De Gea 27, amekuwa kwenye mazungumzo na Manchester juu ya mkataba mpya. (ESPN) Haki miliki ya picha REUTERS Chelsea inafanya mazungumzo na Antonio Conte kumumalizia malipo ya malimbikizo yake huku kukiwa na taarifa ya kumuandaa kurudi Chelsea, ingawa amekuwa akihusishwa na kujiunga na Manchester United, Real Madrid na Bayern Munich. (Telegraph) Monaco imeanza ku...

ATOMIC PHYSICS

Image
Thermionic emission Thermionic emission definition The process by which free electrons are emitted from the surface of a metal when external heat energy is applied is called thermionic emission. Thermionic emission occurs in metals that are heated to a very high temperature. In other words, thermionic emission occurs, when large amount of external energy in the form of heat is supplied to the free electrons in the metals. Metals under high temperature When heat energy applied to the metal is increased to a higher value, the free electrons gain enough energy and overcome the attractive force of the atomic nucleus, which holds the free electrons in the metal. The free electrons, which overcome the ...