Posts

Showing posts from April, 2019

DOGO JANJA, Mpya Kali hii🎵janjaroo🎤

Image
Thank you for reading this post Naweza nikasema huyu jamaa ni msanii wa kipekee ambae ni mtu wa watu sana. Ukikutana nae hajigambi sana na huwa karib na mtu pale anapotaka ukaribu Hii kitu inazidi kupendezesha kazi zake na hata jina lake. Sio only msanii star but naweza kusema ni staa kwa kuwa mtu wa watu kuliko masta wengine Ni karama ya kipekee kufanya vizuri jukwaan na pia kwenye jamii. Big up Janjarooo, tunazikubali kazi zako kinomanoma