Posts

Showing posts from November, 2018

Brexit: UK and EU 'agree text' of draft withdrawal agreement

Image
Brexit: UK and EU 'agree text' of draft withdrawal agreement 8 minutes ago   6340 comments Share this with Facebook   Share this with Messenger   Share this with Twitter   Share this with Email   Share Related Topics Brexit Image copyright REUTERS Image caption Ministers are being briefed individually on the draft agreement UK and EU officials have agreed the draft text of a Brexit agreement after months of negotiations. A cabinet source told the BBC that the document has been agreed at a technical level by officials from both sides after intensive discussions this week. A special cabinet meeting will be held at 14:00 GMT on Wednesday as Theresa May seeks ministers' backing. The PM has been meeting ministers in Downing Street for one-to-one talks on the draft agreement. BBC political editor Laura Kuenssberg said the agreement contained a UK-wide customs "backstop" aimed at preventing new border checks...

Rais Magufuli asema hatochoka kubadili mawaziri

Image
Rais Magufuli asema hatochoka kubadili mawaziri 12 Novemba 2018 Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha IKULU Rais wa Tanzania John Pombe Magfuli amesema hatachoka kufanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri kila itakapohitajika. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wake, tayari Magufuli ameshafukuza kazi mawaziri tisa kati ya 19 aliowateua Desemba 10, 2015. Akizungumza leo Ikulu katika hafla ya kuwaapisha mawaziri wapya, Rais Magufuli amesema ataendelea kufanya mabadiliko ya baraza lae pale patakapokuwa na uhitaji wa kufanya hivyo. "…hii ni kama safari, sio lazima wote tufike. Inawezekana hata mie kiongozi nisisfike lakini lengo letu lazima litimie," amesema Magufuli. Serikali 'yakaza buti' mzozo wa korosho Tanzania Korosho zaondoka na mawaziri wawili Tanzania Korosho zageuka kaa la moto Tanzania Mawaziri wapya...