Air Niugini: Yakosa mwelekeo na kuanguka katika bahari ya kisiwa cha Weno Micronasia
Air Niugini: Yakosa mwelekeo na kuanguka katika bahari ya kisiwa cha Weno Micronasia Saa 9 zilizopita Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha JAMES YAINGELUO Image caption Maboti madogo madogo yaizunguka ndege ya Air naguini katika maji. Ndege ya abiria imeanguka baharini baada ya kukosa barabara ya ndege katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chuuk International huko Micronesia m kulingana na maafisa wa uwanja huo wa ndege. Ndege hiyo kutoka kampuni ya ndege ya Air Niugini kutoka taifa la Papua New Guinea ilionekana ndani ya maji ya kina kifupi karibu na pwani ya eneo hilo. Wakaazi wa eneo hilo walichukua hatua ya haraka kupitia kuifuata ndege hiyo wakiwa wameabiri maboti na kuweza kuwasaidia abiria wake 36 pamoja na wafanyika zi 11. Ni kwanini watoto walemavu wanauawa Kenya? Je Patrick Mfugale ...