Matokeo Real Madrid Vs Liverpool

Real Madrid Vs Liverpool
Real Madrid vs Liverpool | Champions League final 2018 | May 26, 09:45pm BST | NSC Olimpiyskiy Stadium
Liverpool watakutana na Real Madrid in the 2018 Uefa Champions League final on May 26.
One min to time

  1. Tupo mahali tunakingoja

  • Yaap mechi imekwisha kianza 
Madrid 0-0 leverpool 
Rinaldo kawakosa😎😎
Leverpool wanapata kona ya kwanza
Daaah wamekosa
Weee!! Leverpool wamewakosa Madrid alaaa!!
 Kila umefanya kaziyake wow!
Ooh! Mohammed Sarah anaonekana kuumia bega na kushindwa kuendelea na mpira hivyo ameingia mchezaji mwingine. Jambo hill limekua kama pigo kubwa kwa washabiki na wapenzi hata pamoja na timu mzima ya Liverpool.
Tazama ilivyokuwa👇👇👇👇
https://www.nbcsports.com/video/liverpools-mohamed-salah-scores-his-second-goal-against-tottenham

Mashambulizi kwa sasa ni makubwa katika Lango la liverpool
Mchezaji pia wa real Madrid

Goooooo!!! Offside
Daaah! Realiz Madrid wamefunga goli kupitia Christian Rinaldo likin ikawa ni offside hivyo bhado 
Real 0-0 leverpool

Daaah Liverpool wamekoswa tena kwa Mara nyingine. 
Liverpool wanaonekana kushambuliwa sana wakati huu
Mpira ni mapumziko
Realize Madrid 0 - o Liverpool

Kipind cha pili kimeanza kwa kasi sana
Iscooo kagonga mwamba
Benzemaaaa!! Gool
Madrid 1 - 0 Liverpool
Kipa karusha mpira Benzema akaweka mguu goli likaingia
Moira ni moto na Madrid wanaonesha kumiliki sana mpira
Goooool......
Mannah kasawazisha
Reali Madrid 1-1 Liverpool
Bale kapiga ticktaka hili ni goli la kihistoria kabsa






Real Madrid 2-1 liverpool
Gooool .... Bale kawapa Madrid goli la tatu kwa mkwaju wa shut la mbali sana
Real Madrid 3-1 Liverpool
Dakika 3 zimeongezwa
Ronaldoooooo....
Oooh shabiki kaingia uwanjan 
Na mpira umekwishaaaaa
REAL MADRID 3-1 LIVERPOOL

Comments

Popular posts from this blog