Posts

Showing posts from May, 2018

RATIBA YA KOMBE LA DUNIA YA KUANZIA JUNE, 14

Image
For all football ⚽ lovers *FIFA WORLD CUP 2018(RUSSIA) FIXTURES *Group A:-* Russia, Saudi Arabia, Egypt, Uruguay *Group B:-* Portugal, Spain, Morocco, Iran *Group C:-* France, Australia, Peru, Denmark *Group D:-* Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria *Group E:-* Brazil, Switzerland, Costa Rica, Serbia *Group F:-* Germany, Mexico, Sweden, South Korea *Group G:-* Belgium, Panama, Tunisia, England *Group H:-* Poland, Senegal, Colombia, Japan *THURSDAY, June 14/6/2018* 1.RUSSIA vs SAUDI ARABIA  (8:30pm) *FRIDAY, June 15/6/2018* 2.EGYPT vs URUGUAY (5:30pm) 3.Morocco vs Iran (8:30pm) 4.Portugal vs Spain (11:30pm) *SATURDAY, June 16/6/2018* 5.FRANCE vs AUSTRALIA (3:30pm) 6.ARGENTINA vs ICELAND  (6:30pm) 7.PERU vs DENMARK (9:30pm) 8.CROATIA vs NIGERIA (5:30pm) *SUNDAY, June 17/6/2018* 9.COSTA RICA vs SERBIA (12:30am) 10.GERMANY vs MEXICO (8:30pm) 11.BRAZIL vs SWITZERLAND (11:30pm) *MONDAY, June 18/6/2018* 12.SWEDEN vs SOUTH KOREA (5:30pm 13.BELGIU...

MADRID THE WINNERS ON THE UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Image
Real Madrid yesterday were score 3-1 goals Vs Liverpool on UEFA champions league On the first 45min were ended Madrid 0-0 Liverpool The second period start and BENZEMA score the first goal for real Madrid But Liverpool score and make game very challenge through Mane player Gareth 

Matokeo Real Madrid Vs Liverpool

Image
Real Madrid Vs Liverpool Real Madrid vs Liverpool  |  Champions League final  2018 | May 26, 09:45pm BST | NSC Olimpiyskiy Stadium Liverpool  watakutana na  Real Madrid  in the 2018  Uefa Champions League  final on May 26. One min to time Tupo mahali tunakingoja Yaap mechi imekwisha kianza  Madrid 0-0 leverpool  Rinaldo kawakosa😎😎 Leverpool wanapata kona ya kwanza Daaah wamekosa Weee!! Leverpool wamewakosa Madrid alaaa!!  Kila umefanya kaziyake wow! Ooh! Mohammed Sarah anaonekana kuumia bega na kushindwa kuendelea na mpira hivyo ameingia mchezaji mwingine. Jambo hill limekua kama pigo kubwa kwa washabiki na wapenzi hata pamoja na timu mzima ya Liverpool. Tazama ilivyokuwa👇👇👇👇 https://www.nbcsports.com/video/liverpools-mohamed-salah-scores-his-second-goal-against-tottenham Mashambulizi kwa sasa ni makubwa katika Lango la liverpool Mchezaji pia wa real Madrid Goooooo!!! Offsi...

Loo! Kumbe Lulu ni mjamzito, soma zaid hapa

Image
Look! Kumbe Lulu ni mjamzito!!!???? Soma zaidi hapa:  https://www.spoti.co.tz/2018/05/video-kumbe-lulu-ni-mjamzito.html

Magazeti Leo,udaku michezo,na hardnews

Image
Magazeti ya Tanzania leo 19 May 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews Posted   on  Saturday, May 19, 2018   /   comment : 0  Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye  Magazeti  ya  Tanzania leo 19   May 2018  kuanzia ya,  Udaku ,  Michezo  na  Hardnews  kujionea yote makubwa yaliyoandikwa Soma zaidi hapa:  https://www.spoti.co.tz/2018/04/habari-kubwa-za-magazeti-ya-tz-leo_48.html

History And Development Of Physical Education And Sport

History And Development Of Physical Education And Sport Throughout history, sports have played a variety of important functions in society as a form of recreation; preparation for war or the hunt; or later, as a substitute for war. Sports have undergone many changes; some have stayed much the same (e.g. wrestling); while others have adapted with the times. New sports are always being invented and developed. Sports In Ancient Times One of the oldest recorded forms of sports was bull-leaping in the Greek island of Crete, where slaves jumped over the horns of a bull. The ancient Greeks were lovers of sport and taught it to their children at school. The main activities were wrestling, running, jumping, discus and javelin, ball games, gymnastics, and riding as well as military skills. Sporting competitions took place regularly as part of religious festivals. It was also in Greece that the Olympic Games started in 776 BC and...

Forbes: Trump ashuka orodha ya matajiri duniani 2018

Image
Forbes: Trump ashuka orodha ya matajiri duniani 2018 7 Machi 2018 Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Email   Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Rais wa Marekani Donald Trump ameshuka nafasi 222 katika orodha ya kila mwaka ya watu tajiri zaidi duniani ambayo hutolewa na jarida la Forbes. Mali yake imeshuka thamani kutoka $3.5bn (£2.5bn) hadi $3.1bn. Jarida hilo limesema kushuka kwa utajiri wa Trump kumetokana zaidi na kushuka kwa thamani ya nyumba na vipande vya ardhi New York na pia kushuka kwa mapato kutoka kwa viwanja vyake vya kuchezewa mchezo wa gofu. Anayeongoza orodha ya matajiri wa kupindukia ni mmiliki wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos. Wanamuziki watano wa Hip Hop matajiri zaidi duniani Kijana tajiri anayekwepa sheria Thailand Choo kilichotengezwa kwa dhahabu kutumika na umma Oxfam: 'Asilimia 82 ya utajiri duniani unamilikiw...