Posts

Showing posts from January, 2018

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017/2018, bofya mara moja tu!

Image
TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAPA KWAKUBOFYA MARA MOJA TU! 👇👇👇 http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/tangazo-1096-20180130-Matokeo-kidato-cha-nne-2017/CSEE%202017/index.htm
http://www.bbc.com/swahili/42291803?ocid=socialflow_facebook

HABARI LEO

Image
Mkurugenzi ataka TSN ibebe ajenda ya viwanda MKURUGENZI wa Idara ya Habari (Maelezo), Dk Hassan Abbasi ameitaka Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kueleza na kuufafanulia umma ajenda ya serikali kujenga uchumi wa viwanda. Dk Abbasi alitoa msisitizo huo mjini Dodoma jana alipotembelea ofisi za TSN Dodoma na kukutana na wafanyakazi wa ofisi hiyo. Pamoja na mambo mengine, aliwataka wafanyakazi wa kampuni hiyo kujielewa kwamba wana wajibu mkubwa wa kuiandika ajenda ya serikali ya uchumi wa viwanda. Aliitaka TSN kuandika habari kwa kuzingatia maadili na weledi na zilizofanyiwa uchambuzi wa kina zaidi, kuelimisha umma malengo hayo ya uchumi wa viwanda. Dk Abbasi alisema kama waandishi watadhamiria kuibeba ajenda ya serikali ya kujenga uchumi wa viwanda, lazima wasome na kuzielewa nyaraka mbalimbali za serikali, mpango wa maendeleo wa serikali wa miaka mitano na mipango iliyomo kwenye bajeti ili kuwajulisha Watanzania juhudi za serikali kujenga uchumi. Dk Abbasi, ambaye ni Mjumbe w...

HATARI NA MADHARA 20 YA KUPIGA PUNYETO KWA WANAUME

Image
HATARI NA MADHARA 20 YA KUPIGA PUNYETO KWA WANAUME Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubarehe. Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa asiyejitambua na asiye na usimamizi wa karibu wa wazazi au walezi. Ni wakati huu ndipo mbegu za kiume (manii) huanza kuzalishwa katika mwili wa kijana wa kiume na kupelekea kuanza kuona hitaji la kuwa na mchumba au hata mke. Kutokana na maisha na tamaduni zetu wa afrika zilivyo hapo ndipo kijana huona hana namna zaidi ya kujichua pale anapokuwa hana mtu wa kujamiiana naye ili kupunguza hamu zake. Kitendo hiki kimeathiri sehemu kubwa ya jamii. Kupiga punyeto au kujichua ni kitendo ambacho huleta matatizo makubwa ya muda mrefu ambayo muathirika huchelewa sana kuyatambua. Tuangalie sasa madhara 20 yafuatayo ambayo ni matokeo ya kujichua kwa mwanaume: 1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako. 2. Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili na kupelekea matatizo ...