Mambo 10 unayoweza kufanya kupunguza hatari ya kuugua saratani 4 Februari 2018 Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Image caption Jitihada zinashinikizwa kung'amua mapema maradhi ya saratani na kuyashughulikia ipasavyo Kampeni kubwa imesambaa duniani wakati dunia leo inaadhimisha siku ya saratani duniani - #WorldCancerDay - kupiga vita saratani kwa kuongeza uhamasisho kuhusu umuhimu wa kutambua mapema na kuzuia kusambaa kwa saratani. MATANGAZO Shirika la afya duniani WHO linasema saratani ndio chanzo cha kifo cha mtu mmoja kati ya sita duniani, na hadi 50% ya aina zote za saratani zinaweza kuzuilika. Lakini idadi ya visa vipya vya ugonjwa huo inatarajiwa kuongezeka kwa takriban asilimia sabiini katika miongo miwili ijayo. Madaktari wa Afrika Mashariki kupata ujuzi wa saratani Uingereza Tanzania kuchunguza saratani ya kizazi kw...