Zari: Nimeachana na Diamond
Zari: Nimeachana na Diamond 15 Februari 2018 Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Image caption Diamond na Zari Unaonekana uhusiano wa wapenzi maarufu Afrika Mashariki yaani msanii wa bongo fleva Diamond Platinumz na mfanya biashara wa Uganda Zari Hassan umefika ukingoni. Zari Hassan ametangaza kuachana na mzazi mwenzake, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz baada ya kuwapo kwa tuhuma nyingi kuhusu mwanamuziki huyo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wengine. Mashabiki wa Zari wamepokea habari hizo kwa mshangao na hisia tofauti wakituma ujumbe kwenye ukurasa wake. Image caption . Image caption . Image caption . Diamond ni baba wa watoto wawili wa Zari ambaye ameoenakana kunyamaza kwa muda baada ya mpenziwe Diamond kukiri hadharani kudanganya katika uhusiano wao na kupata mtoto na mwanamitindo wa Tanzania Hamisa Mobetto. Zar...