Posts

MUHIMU KUSAMEHE

Image
Thank you for reading this post Sometimes tunakosea marafiki zetu na hata wazazi, kosa lililotendeka hukulitarajia, wakati mwingine unakuta unaumia na unapata shida sana huku ukijutia kosa lako. Wakati huo uliemkosea hakuoni wala haiskii ukijilaumu, lakini yeye anakasirikia na kushindwa kuelewa ni jinsi gani unavyowaza kukutoka moyoni mwako. Napenda tujifunze nini? Msamaha ni muhimu kwa watu wote, sometimes unaweza ukalaumu mtu kumbe yeye mwenyewe anajutia zaidi kosa lake, muhimu anapo omba msamaha mpatie msamaha. Ili nae apate amani moyon mwaka apate nafasi ya kuwaza mambo mengne. Kukosea kupo shetani alikua malaika lkn alikosea, meaning that sio sisi binadam tu tunakosea, lkn kila kitu exists on earth kinakosea plz tuwe tunasameheana. Kwan hata Mungu husamehe dhambi zetu sawasawa na tunavyosamehe wawanao tukosea God bless u na akupe moyo mwepec wa kusamehe Amina

AKILI NI SULUHISHO LA MATATIZO. Ishughulishe akili yako.

Image
Thank you for reading this post TAFAKARI YA LEO Siku hii ni njema imempendeza Mungu sisi kuwepo, Leo napenda tutafakari machache ambayo ni maisha yetu ya kawaida kabisa, * Soma story hii kidogo * Kampuni moja iliingia hasara Sana na kwa muda, boss wa kampuni alipoona kampuni inaangamia akaamua kuita wafanyakazi wote Kisha akawaambia Kila mmoja aandike sababu ishirini (20) kwann kampuni inaporomoka kiuchumi Wafanyakazi wale walipochukua karatasi kuandika, waliandika point za mwanzo haraka Sana lakini zilipo fika kwanzia point ya (15) speed yao ya kuandika ilipungua hivyo walifikiri Sana kwa kutumia akili zao. Boss alipokuja kutazama point zile na kuzifanyia kazi alikuta kwanzia point ya 17 ya Kila mmoja ndio inasuluhisho la kwann kampuni inaporomoka..🔥 Tambua kuwa binadamu Mungu katujalia akili nyingi sana na uwezo mkubwa Sana wa kuhifadhi mambo. Kisaikolojia binadamu anao uwezo wa kuhifadhi billions za vitabu kwenye kumbukumbu yake, na anaweza kutumia hizo reference kutatua...

HABARI KUU LEO; MUNGU JUU YA YOTE MAISHANI MWAKO

Image
Thank you for reading this post Sometimes Mungu huwa anaruhusu mambo mengine ili kukupa funzo kwenye maisha yako, anakuokoa na kule unapoelekea, pengine ungeenda kuangamia. Lkni sisi wanadamu tulivyo tunataka mafanikio wakati wote na kuona Mungu katuacha pale tunapo pita kwenye majaribu. Mkumbuke Ayubu, yeye alipata majaribu meng na makubwa sana  lakin kamwe hakumwacha Mungu aliye muumba alitulia kusubiri muda wa Mungu kujitukuza kupitia yeye na ilipofika wakati, Mungu alijitukuza na alimjaza Mara nyingi zaidi akampa Mali za kutosha na kumpa make na watoto wazuri. Nawe napenda kukuambia katika usiku wa Leo usije ukakata tamaa na kuacha kumtumikia Mungu maishani mwako mwache Mungu afanye yake itafika muda wa yeye kujitukuza na shetani na wote waliokusema wataaibika. Chukua dakika chache za kumtukuza Mungu na kumwambia asante kwa yote aliyo kutendea maishani, zidi kumwomba bila kukoma naye IPO siku atajitukuza kwako. Mungu akujalie afya njema Mungu akujalie baraka ...

MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018/2019..bofya Mara moja tu

Image
Tazama matokeo ya kidato cha nne hapa Bofya link matokeo kidato cha nne ,necta

Get money here

Image
https://m.facebook.com/mmarystarnley/photos/a.2215911448469050/2215903158469879/?type=3&refid=17&ref=m_notif&_ft_=mf_story_key.2269190713350370%3Atop_level_post_id.2269190713350370%3Atl_objid.2269190713350370%3Acontent_owner_id_new.100007783897053%3Aoriginal_content_id.2215903158469879%3Aoriginal_content_owner_id.1972134092846788%3Athrowback_story_fbid.2269190713350370%3Apage_id.1972134092846788%3Aphoto_id.2215903158469879%3Astory_location.4%3Aattached_story_attachment_style.photo%3Apage_insights.%7B%221972134092846788%22%3A%7B%22page_id%22%3A1972134092846788%2C%22role%22%3A1%2C%22actor_id%22%3A100007783897053%2C%22psn%22%3A%22EntStatusCreationStory%22%2C%22attached_story%22%3A%7B%22role%22%3A1%2C%22page_id%22%3A1972134092846788%2C%22post_context%22%3A%7B%22story_fbid%22%3A2215903158469879%2C%22publish_time%22%3A1547848838%2C%22story_name%22%3A%22EntComposerPhotoCreationStory%22%2C%22object_fbtype%22%3A22%7D%2C%22actor_id%22%3A1972134092846788%2C%22psn%22%3A%22EntCom...

Brexit: UK and EU 'agree text' of draft withdrawal agreement

Image
Brexit: UK and EU 'agree text' of draft withdrawal agreement 8 minutes ago   6340 comments Share this with Facebook   Share this with Messenger   Share this with Twitter   Share this with Email   Share Related Topics Brexit Image copyright REUTERS Image caption Ministers are being briefed individually on the draft agreement UK and EU officials have agreed the draft text of a Brexit agreement after months of negotiations. A cabinet source told the BBC that the document has been agreed at a technical level by officials from both sides after intensive discussions this week. A special cabinet meeting will be held at 14:00 GMT on Wednesday as Theresa May seeks ministers' backing. The PM has been meeting ministers in Downing Street for one-to-one talks on the draft agreement. BBC political editor Laura Kuenssberg said the agreement contained a UK-wide customs "backstop" aimed at preventing new border checks...

Rais Magufuli asema hatochoka kubadili mawaziri

Image
Rais Magufuli asema hatochoka kubadili mawaziri 12 Novemba 2018 Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha IKULU Rais wa Tanzania John Pombe Magfuli amesema hatachoka kufanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri kila itakapohitajika. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wake, tayari Magufuli ameshafukuza kazi mawaziri tisa kati ya 19 aliowateua Desemba 10, 2015. Akizungumza leo Ikulu katika hafla ya kuwaapisha mawaziri wapya, Rais Magufuli amesema ataendelea kufanya mabadiliko ya baraza lae pale patakapokuwa na uhitaji wa kufanya hivyo. "…hii ni kama safari, sio lazima wote tufike. Inawezekana hata mie kiongozi nisisfike lakini lengo letu lazima litimie," amesema Magufuli. Serikali 'yakaza buti' mzozo wa korosho Tanzania Korosho zaondoka na mawaziri wawili Tanzania Korosho zageuka kaa la moto Tanzania Mawaziri wapya...